Tambua Thamani Iliyoko ndani Yako

Published: Sept. 3, 2016, 12:36 p.m.

b'Watu wengi sana wamekata tamaa kwa sababu ya maneno na matendo waliyotendewa katika maisha, pamoja na mazingira waliyokutana nayo katika maisha. Lakini kuna Uthamani ambao bado umo ndani ya kila mtu, sikiliza na upakue(download) hii Audio kujifunza zaidi.

Usisahau Kujiunga (Follow) ili uwe unapata taarifa ya Elimu mpya mahali hapa, kuna masomo pia ya Kiuchumi na Kimtazamo yanakuja muda si mrefu.

0764793105 whatsapp.
http:jesusisalive2016.wordpress.com'