Zari na Wema Vita

Published: May 16, 2021, 9:49 a.m.

watupiana maneno instagram , wema asema zari ni mtu mzima zari asema wema kakonda kabaki kichwa na sio mtoto aache kujidanganya