Tanzania imetangaza kifo cha raia wake mmoja huko Israel katika mapigano yanayoendelea kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas. - Novemba 18, 2023

Published: Nov. 18, 2023, 4:30 p.m.

b'Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.'