Rais William Ruto wa Kenya anasema serikali yake inapanga kuzindua huduma ya afya kwa wote hapo Januari Mosi mwaka 2024. - Novemba 23, 2023

Published: Nov. 23, 2023, 4:30 p.m.

b'Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.'