Mkutano wa UN kuhusu hali ya hewa wa COP28 umeanza huko Dubai, UAE watalaamu wa mazingira wakijadiliana masuluhisho muhimu. - Novemba 30, 2023

Published: Nov. 30, 2023, 4:30 p.m.

b'Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.'