b'Mgomo wa madereva wa malori ya kubeba madini kutoka kwenye migodi ya Kusini Mashariki mwa DRC kwenda nchi mbalimbaliu umeanza, wakilalamikia malipo duni.'