Maandamano ya kupinga mikataba ya bandari Tanzania yakosa kufanyika baada ya polisi kuwakamata walioyapanga - Novemba 09, 2023

Published: Nov. 9, 2023, 4:30 p.m.

b'Wasomi na wanasiasa wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Watanzania ambao hawajaridhishwa na maamuzi ya serikali ya uwekezaji wa bandari ya Dar es Salaam ili kupunguza migongano ya kisiasa inayoendelea.'