LIVETALK: Uhusiano kati ya nchi za Afrika Mashariki na watawala wao wa zamani wa kikoloni - Novemba 03, 2023

Published: Nov. 3, 2023, 4:30 p.m.

b'Tunajadili ziara za Mfalme Charles nchini Kenya na Rais Steinmeier nchini Tanzania na uhusiano kati ya nchi za Afrika Mashariki na watawala wao wa zamani wa kikoloni'