Licha ya kuwa na ulemavu Wanawake kutoka shirika la Tunaweza Women Living with Disability wamejitosa katika biashara ya kutengeneza siagi ya karanga almaarufu peanut butter walioipa jina la Onja Utamu.
\nSiagi hio inatengenezwa kutumia njugu pekee ambazo husagwa kwa kutumia mashini.
\nBy:Silvia Maina