Wanawake Waliojitokeza Kuwania Viti Vya Kisiasa

Published: Oct. 6, 2021, 10:38 a.m.

Wanawake ulimwenguni wanaendelea kujitokeza kwa hali na mali kupigania usawa wa kijinsia kwa kujiunga katika ulingo wa siasa.Katika makala haya Mhariri wetu Ruth Keah amezungumza na wanawake ambao wamejitokeza kuwania nafasi za uongozi katika siasa mwaka 2022.

\n

By:Ruth Keah

\n