Vifo vya uzazi vyapungua Kwale.

Published: April 19, 2022, 8:16 a.m.

Tangu serikali ya kaunti ya Kwale kuongeza idadi ya vituo vya afya nyanjani, Idadi ya wanawake  wanaoaga dunia kutokana na changamoto za kujifungua kaunti ya kwale  imepungua kutoka wanawake 560 Kila mwaka Hadi wanawake 35 Kati wanawake laki 1 wanaojifungua kote  nchini.

\n

By:Mwanaharusi Rashid