Kulingana na wizara ya afya nchini Kenya, takribani 2% ya Wakenya wamedungwa chanjo hio, huku kati ya 2% ya watu waliodungwa chanjo ya corona zaidi ni wanaume.
\nPamoja na hayo, kuna uvumi unaoendelea kuwa chanjo hiyo husababisha utasa na kupoteza nguvu za kiume.
\nLicha ya kuweko na uvumi huo, idadi kubwa ya wanaume wanaendelea kudungwa chanjo hio.
\nBy Athman Luchi