Uongozi wa wanawake Wapigiwa upatu Pwani.

Published: Nov. 20, 2021, 12:29 p.m.

Wanawake wengi wameshindwa kuafiki katika maswala ya uongozi kutokana na kasumba inayoendelezwa na baadhi yao kwamba mwanamke hawezi kuwajibikia majuku yake ipasavyo.

\n

Kulingana na takwimu za shirika la kimataifa la wanawake UN Women, duniani kuna nchi 27 ambapo wanawake wanachangia chini ya asilimia 10 ya wabunge.

\n

By:Nuru Mwalim