Licha ya wanawake waliojifungua kusisitizwa kunyonyesha watoto wao,bado kunao ambao hawanyonyeshi watoto.
\nKulingana na shirika la afya duniani WHO, karibu watoto 2 kati ya 3 hawanyonyeshwi maziwa ya mama pekee kwa miezi 6 iliyopendekezwa\u2014kiwango ambacho hakijaimarika katika miongo 2.
\nMwandishi:Zahra Nakaya Akosa.