Nchi nyingi za Afrika zinazopatikana Kusini mwa jangwa la Sahara hazina chakula cha kutosha.
\nHali hii hutokana na sababu nyingi ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi ambapo wakulima wanaotegemea mvua mara nyingi huishia kutopata mavuno mvua inapokosa kunyesha.
\nMhariri wetu Ruth Keah ametembelea wakulima wa Unyunyiziaji Maji huko Kinango kaunti ya Kwale na kutuandalia Makala yafuatayo.