Ubaguzi wa Wanawake wenye ulemavu wanaowania viti vya kisiasa Mombasa

Published: Aug. 7, 2022, 11:11 a.m.

Wanasiasa wanawake wenye ulemavu ubaguliwa ,hukejeliwa na kutengwa katika harakati za kisiasa kufuatia maumbile yao,ubaguzi huo unawaathiri wanasiasa hao wenye ulemavu,hatua inayowafanya kushindwa kuendeleza azima yao ya kuwania viti vya kisiasa.

\n

Mwandishi:Athuman Luchi