Ulemavu ni swala ambalo hadi sasa baadhi ya jamii nchini wanalichukulia kama laana na mzigo katika jamii huku jamii ya kiume ikionekana kuchukua usukani katika dhana hiyo.
By:Nuru Mwalimu