TASWIRA MPYA YA MAJAA MOMBASA

Published: Aug. 30, 2021, 1:15 p.m.

Suala la takataka kujaaa katika majaa pamoja na mitaani huenda likawa linachukua mkondo mwengine baada ya serikali ya kaunti ya Mombasa, mashirika binafsi pamoja na vijana kuongeza juhudi za kusafisha mazingira.

\n

Jaa la Kibarani ambalo limekuwa kero kwa wengi kwa miaka mingi kwa sasa ni bustani nzuri ya wananchi kupata upepo mwanana.

\n

Je ni vipi jaa hilo lilibadilishwa hadi kuwa bustani ?

\n

By Ali Nariri