Idadi ya uchafu wa plastiki baharini imeongezeka sana katika miaka ya hivi karibuni, Likiwa ni tatizo kubwa linalokabili mazingira duniani.
\nJambo ambalo limeathiri sana upatikanaji wa Samaki kwa sasa katika maeneo mbalimbali ya bahari eneo la pwani, Lakini kikundi cha Gazi Women Magrove Boardwalk kimejitolea kulinda msitu wa mikoko katika eneo hilo la Gazi ili mbali na kulinda mazingira, pia wapate kipato cha kujikidhi kimaisha.
\nKama anavyotueleza mhariri wetu Ruth Keah kwenye Makala haya.
\n