Idadi kubwa ya wanawake wenye saratani ya matiti maeneo ya vijijini wamezongwa na kasumba kwamba saratani ya matiti ni kifo na sio rahisi kwa mgonjwa kupona.
\nIli kufutilia mbali kasumba kuwa saratani ya matiti ni kifo,nilifanikiwa kufanya mahojiano na Anna Nyambura ambaye alipona saratani ya matiti baada ya kupata matibabu humu nchini pamoja na Daktari Riyaz Kasmani ambaye ni mtaalamu wa ungojwa wa saratani.
\nMwandishi: Rose Tawa.