Mchezo wa Mpira wa miguu maarufu zaidi kama kandanda au soka, ni mchezo unaopendwa na wengi.
\nKatika Makala haya, mhariri wetu Ruth Keah anamuangazi kijana kwa jina Mohammed Munga aliye na ulemavu wa mguu lakini akapuuza ulemavu huo na kwa sasa anang\u2019aa katika ulingo wa soka kimataifa.