Ukataji wa miti kiholela umesababisha mabadiliko ya tabianchi,kiangazi,mmomonyoko wa udongo,mafuriko na ongezeko la hewa chafu hatua inayochangia athari mbali mbali kwa jamii.
\nKufuatia mabadiliko hayo ya tabia nchi,sasa jamii imejitokeza kuja na mbinu mbali mbali za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
\nMakundi ya wanawake na vijana katika kaunti ya kwale yanaendeleza mpango wa upanzi wa miti,walioupa jina la Mti wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika kila boma.
\nBy Rose Tawa.