Mradi wa Elimu Ni Sasa Initiative' Wasaidia Wanafunzi Kwale

Published: Sept. 29, 2021, 8 a.m.

Tangu kuanzishwa kwa mradi wa \u2018Elimu Ni Sasa Initiative\u2019kaunti ya Kwake idadi kubwa ya wanafunzi katika kaunti hio wanaofanya vyema wanajiunga na shule za upili na vyuo vikuu ikilinganishwa na miaka ya nyuma ambapo wanafunzi wengi hasa kutoka familia maskini walikuwa wanakwama kuendeleza masomo yao.

\n

Mfumo wa Elimu Ni Sasa ulianzishwa mwaka 2013 na lengo kuu ni kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti ya Kwale, kama ulipaji wa karo kwa wanafunzi wanaojiunga na shule za upili na vyuo vikuu na vyuo vya ufundi.

\n

By: Athuman Luchi