Mazingira na Ajira part 2

Published: Oct. 28, 2021, 12:10 p.m.

Huku changamoto za taka zikiendelea kulikumba jiji hili la mwambao wa Bahari Hindi, makundi ya kujitegemea yamechipuka kama uyoga kuisaidia serikali ya kaunti ya Mombasa kukabiliana na jinamizi hili.

\n

By: Majani Rashid