MABADILIKO YA MAJUKUMU KWA WAFUGAJI | PART 1

Published: Aug. 6, 2021, 5 p.m.

Mabadiliko ya tabia nchi huathiri shughuli za kibinadamu huku tafiti zikionyesha kuwa wanawake wana uwezekano mkubwa kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi zaidi ya wanaume.

\n


\n

Makala haya yanaangazia jinsi mabadiliko ya tabia nchi yamewaathiri wanawake kutoka familia za wafugaji huko Maungu kaunti ya Taita Taveta kiasi cha kuwa wamebadilisha   majukumu ya familia. Ambapo kwa sasa wanawake wanajukumika kulinda familia huku wanaume wakikaa tu.

\n

By Ruth Keah