Kaunti ya Mombasa imekuwa ikishuhudia mkurupuko wa homa zinazosababishwa na mbu ikiwemo homa ya Dengue, Chikungunya na Malaria.
\nMagonjwa ambayo yanasababishwa na aina Fulani ya mbu.
\nMhariri wetu Ruth Keah katika Makala yafuatayo,ameeleza juhudi mbalimbali zilizochukuliwa na wadau wa afya kuhakikisha kuwa inatokomeza magonjwa hayo.