Makala haya yanazungumzia kuhusu jinsi idara ya afya gatuzi dogo la Rabai kaunti ya Kilifi ilivyoweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa homa ya Chikungunya.
\nHii ni baada ya homa hiyo kuripotiwa kaunti jirani ya Mombasa.
\nImetayarishwa na kusimuliwa na Ruth Keah.