Makala haya mitandao ya kijamii inavyoeneza habari za urongo kuhusu chanjo ya virusi vya Corona ni sehemu ya pili. Inazungumzia jinsi watu waliokuwa tayari kupata chanjo ya virusi vya corona pindu tu vilipothibitishwa humu nchini. Lakini kwa sasa wamebadili nia zao kwasababu ya habari walizozisoma kutoka mitandao ya kijamii kuhusu chanjo hizo.
\nby Ruth Keah