Gharama ya mawasiliano kwa watu wenye changamoto ya matamshi.

Published: March 28, 2022, 7:30 a.m.

Mawasiliano ni mchakato wa kuhamisha taarifa kutoka chombo kimoja hadi kingine.

\n

Mawasiliano yanaweza kueleweka vyema kama mchakato kati ya wahusika wawili una mwelekeo uliokubaliwa.

\n

Lakini kwa jamii ya watu wenye changamoto ya matamshi, utumiaji wa simu hizo za mkononi hasa kwa mazungumzo ni changamoto kwao,kama anayosimulia mhariri wetu Ruth Keah kwenye Makala yafuatayo.