Kupanda kwa gharama ya maisha kumeathiri wanawake wenye ulemavu wengi wao wakiwa walezi ambao hawana kazi na wengine wakitegemea kuomba omba mitaani.
\nMfumko huo wa bei za vyakula umewafanya wengi wao kulala njaa kwa kukosa namna ya kukidhi mahitaji ya familia zao.
\nMwandishi:Nuru Mwalimu