DHANA KUWA TANGAWIZI LIMAU NA ASALI NI KINGA NA TIBA YA CORONA

Published: June 7, 2021, noon

Ni kuhusu dhana kuwa mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga na vilevile tiba ya corona.

\n

Hii ni sehemu ya kwanza ya makala. Lengo ni kusambaza ujumbe kwa wale wanaoamini dhana hii kuwa dawa.

\n

....Baada ya kuzuka kwa virusi vya corona kumekua na habari aina tofauti kuhusu hatua za kuchukua kuepuka kuambukizwa, na habari nyengine kuhusiana na tiba ya corona.

\n

Mojawapo ya habari iliyopata umaarufu nchini ni kuhusu utumizi wa tangawizi, limau na asali.

\n

Je mchanganyiko wa tangawizi, maji ya limau na asali ni kinga au tiba ya corona.

\n

by Mwanaharusi Rashid