Baadhi ya wakenya wako na dhana kuwa hakuna corona nchini kenya kutokana na kuwa wa afrika wako na kinga thabith ambayo inawakinga didhi ya kupatwa na virusi hivyo huku baadhi wakidai kuwa ni mpango wa serikali kujipatia fedha.
by Nuru Mwalimu