Licha ya kuwa ugonjwa wa selimundu yaani Sickle Cell kuwa hatari na usiokuwa na tiba cha kushangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu wanaougua ugonjwa huo wanaamini kuwa chanjo ya corona sio salama kwao,hivo kususia kudungwa chanjo hio.
\nBy:Athuman Luchi