Chanjo za Corona haziathiri nguvu za kiume

Published: Nov. 28, 2021, 8 a.m.

Chanjo za Corona haziathiri nguvu za kiume kama inavyodhaniwa na wengi.Mwanahabari wetu alifanya mazungumzo na wanaume waliodungwa chanjo hio na wametibithisha kuwa hawajaathirika,nguvu zao za kiume bado ziko imara.

\n

By:Athuman Luchi