Mwaka wa 2019 raisi Uhuru Kenyatta alizindua rasmi zoezi la wasichana walio na umri wa miaka 10 kupewa chanjo ya saratani yaani HPV, lakini zoezi hilo lilipata pingamizi kutoka kwa wadau mbalimbali nchini.
\nKatika Makala haya,mhariri wetu Ruth Keah ameangazia kuhusu habari za urongo ambazo zilifanya wazazi kupuuza chanjo hiyo na wataalamu ambao wamekosoa habari hizo za urongo.