CHANJO YA CORONA KWA WANAWAKE

Published: Aug. 15, 2021, 2:50 p.m.

Wakati huu dunia ikiendelea kuhakikisha chanjo dhidi ya virusi ya corona imesambazwa kwa kila mtu duniani,Asasi za afya zikiongozwa na shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO limetoa wito kwa umma kupuuza habari za urongo zinazosambazwa kuhusu chanjo hizo na kudungwa.

\n

Miongoni mwa habari hizo za urongo zimeelekezewa wanawake zikidai kuwa wanapopata chanjo hiyo watapoteza afya yao ya kizazi.

\n

Katika makala haya, baadhi ya wanawake  wamezungumzia hisia zao kuhusiana na chanjo hiyo inayotolewa humu nchini Kenya ya Astrazeneca.

\n

By Ruth Keah