Changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kwa jina albinism

Published: Dec. 1, 2021, 5:54 a.m.

Kulingana na wataalamu wa afya ni kwamba miale ya jua ni kiungo muhimu kwa afya ya binadamu, ila kuna jamii ya watu ambao jua ni hatari kwao na huchukuliwa kama adui mkubwa kwenye ngozi zao.

\n

Kwenye Makala haya ya afya  tunaangazia changamoto za watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kwa jina albinism.

\n

Mtayarishi ni Ibrahim Juma Mudibo.