Bara la afrika limemulikwa sana katika ukuaji wa miundo msingi yake katika sekta mbalimbali ikiwemo ujenzi na upanuzi wa barabara.
\nLicha ya miradi hiyo kurahisisha usafiri kwa mwananchi,bado kuna changamoto kubwa kwa jamii ya watu wenye ulemavu kutokana na ukosefu wa miundo mbinu rafiki kwao.
\nKama anavyoeleza mhariri wetu Ruth Keah kwenye Makala haya.