Changamoto Za Usafiri Zinazowakumba Wanasiasa Wanawake Wenye Ulemavu

Published: June 22, 2022, 7:34 a.m.

Licha ya wanawake wenye ulemavu kujitosa kwenye siasa,bado wanakumbwa na changamoto ya usafiri kufuatia maumbile yao,hasa kwa walemavu wenye matatizo ya viungo vya miguu na wale wasioona.

\n

Wanasiasa hawa ambao wanawania kama wawaniaji huru jijini Mombasa,hawana gari za kufanyia kampeni mashinani,hatua inayowafanya kulemaza kampeni zao.

\n

By Rose Tawa