Licha ya kuwa jamii inawatenga kutokana na maumbile yao, idadi kubwa ya walemavu eneo la Pwani wamejikita katika biashara ndogo ndogo ili kujikimu kimaisha.Katika kaunti ya Kwale baadhi ya walemavu wamejikita katika uuzaji wa njuguu.
\nBy:Athuman Luchi