Biashara ya Manamba Mombasa

Published: Oct. 10, 2021, 11:18 a.m.

Licha ya wengi uidharau kazi ya Manamba na kuihusisha na wezi kwa jina maarufu la mitaani mateja, biashara hii imeonekana kuvutia wengi katika kaunti ya Mombasa bila kigezo cha mri.Mwanahabari wetu Nuru Mwalimu ametuandalia makala kuhusu Biashara ya Manamba Mombasa.

\n

By:Nuru Mwalimu