BARAKOA KWA WALIO NA CHANGAMOTO YA KUSIKIA NA KUZUNGUMZA | PART 1

Published: April 5, 2021, 6 p.m.

Makala haya yanazungumzia ubunifu wa barakoa maalum kwa watu walio na changamoto ya kusikia na kuzungumza uliofanywa na shirika la Coast Association with persons living with disability. Barakoa ambazo zitawawezesha kuwasiliana na watu kwa urahisi na kwa wakati huo huo kujikinga na virusi vya Corona

\n

Makala by Ruth Keah