BAISKELI USAFIRI USIOCHAFUA MAZINGIRA

Published: Aug. 25, 2020, 4:47 p.m.

Kutokana na Uchafuzi wa hali ya hewa ulimwengu, utumizi wa baiskeli unapendekezwa zaidi maana hazina moshi hivyo hazichafui mazingira. Sikiliza makala hayo kuelewa zaidi kuhusiana na baiskeli.

\n

Makala by Faiz Musa