Wataalamu waonya kuhusu ongezeko la moto wa nyika duniani

Published: May 4, 2022, 4:22 p.m.

Msikilizaji katika makala ya Mazingira leo dunia yako kesho hivi leo,  wataalam wanaonya kuhusu kuongezeka kwa tishio la moto wa nyika kwa asilimia 50 kufikia mwaka mwisho wa karne hii, wakati katika nchi za magharibi tayari idadi hii ikitajwa kuongezeka mara tatu zaidi.