UNEP yaadhimisha miaka 50: Mafanikio na changamoto ?

Published: Jan. 19, 2022, 7 a.m.

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa-UNEP linaadhimisha miaka 50 tangu kuundwa kwake. Tunaangazia mafanikio na changamoto.