Ukuzaji wa uyoga kwenye misitu nchini Kenya

Published: Dec. 14, 2021, 4:35 p.m.

Tunaangazia namna Mamlaka inayotunza misitu nchini Kenya inavyozihusisha jamii katika kulinda na kuhifadhi misitu kupitia mradi wa maendeleo wa Green Zones awamu ya pili unaofadhiliwa na Benki ya maendeleo ya Afrika katika kaunti 15 kupitia mradi unaoruhusu ukulima wa miti na mimea kwa wakati mmoja (PELIS) .