Shirika la Pelum Kenya kwa ushirikiano na SACDEP Kenya laanda mkutano wa kutoa hamasisho kwa jamii

Published: Nov. 8, 2022, 11 a.m.

Shirika lisilo la kiserikali la Pelum Kenya kwa ushirikiano na shirika la SACDEP Kenya laanda mkutano wa kutoa mafunzo kwa jamii kuhusu masuala ya mazingira na tabianchi, namna inashusiana na haki zao.