Nishati salama kwa ulinzi wa mazingira

Published: July 26, 2022, 6:33 a.m.

Makala ya wiki hii, inaangazia namna wanawake walioko Pwani ya Kenya, wamebuni majiko maalumu ambayo matumizi yake hayana athari za kimazingira ukilinganisha na majiko mengine.