Namna sanaa mbalimbali zinaweza kutumiwa na jamii kupitisha ujumbe kuhusu mabadiliko ya tabianchi.

Published: Oct. 4, 2022, 6:38 a.m.

Nchini Kenya, shirika moja la sanaa kwa jina Sarakasi, mbali na kuwashirikisha vijana kupitia sanaa mbalimbali, limejipa changamoto ya kutumia nafasi yao kuihamasisha jamii kuhusu masuala ya mazingira. Mwezi Septemba 2022, shirikahilo liliandaa tamasha walilolipa jina Mother Nature, mwenzagu George Ajowi, alipata fursa ya kuhudhuria tamasha hilo liliolenga kutoa hamasisho kuhusu masuala ya mazingira kupitia sanaa ya densi.