Namna mashirika yasio ya kiserikali yanavyojihusisha katika utunzaji wa mazingira nchini Kenya

Published: Oct. 11, 2022, 9:24 a.m.

Shirka la 'We Don't Have Time' kwa maana ya 'Hatuna muda'  na shirika la Takamali ni baadhi ya mashirika  yasio ya kiserikali nchini Kenya yaliojitolea kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira.